NEW UPDATES

PICHA 12: MAGETI YA UWANJA WA ARUSHA YAFUNGWA KUZUIA WAOMBOLEZAJI ZAIDI WASIINGIE

PICHA 12:

ARUSHA: Mageti ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha yamefungwa ili kuzuia waombolezaji zaidi kuingia kutokana na uwanja huo kujaa sana. Hali hiyo imetokana na wananchi wengi waliojitokeza kuja kuaga miili ya walimu, wanafunzi na dereva waliofariki katika ajala ya basi wilayani Karatu, Arusha Aprili 6 mwaka huu.

Hapa chini ni picha mbalimbali za waombolezaji katika uwanja huo.

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link