NEW UPDATES

MOROGORO:- MSANII EMMANUEL ELIBARIKI "ney wa mitego, akamatwa na police.




Msanii wa kizazi kipya Emmanuel elibariki  alimaarufu kama NEY wa mitego amekamatwa asubuhi hii huko morogoro

Mashairi haya yamponza ney wamitego.

Hivi Uhuru wa kuongea bado upo? Siamini nchi inaendwa kwa kiki! Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti?
Wapooo! Mheshimiwa hivi unamjua  bashite kutoka kolomije? We si Dokta wa kutumbua majipu?

We mtu  gani sasa? Hutaki kushauriwa, hutaki kukosolewa?...naona kichaa kapewa rungu! Hahahaha.

>>>>>>>>
>>>>>>>>


JESHI LA POLICE LIMESIBITISHA KUWA NI KWELI NEY WAMITEGO AMESHIKILIWA KUTOKANA NA NYIMBO YAKE MPYA KUIMBA MANENO YA KUIKASHIFU SERIKALI ILIYO MADARAKANI.

 Baki hot news
      



No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link