TIBU KIKOHOZI NA TATIZO LA KUKOSA USINGIZI KWA KUTUMIA ASALI MBICHI
Whatsapp: 0622925000
Call/txt: 0767925000/0622925000
Address: Shinyanga - Tz
Wengi wetu tumezoea kuitumia asali kama kinywaji tu na siyo kwa matibabu, hatujui kuwa asali halisi ni kinga na tiba ya matatizo mengi yanayotuzunguka binadamu, ndiyo maana kauli yetu kuu ni kwamba "USIKOSE ASALI MBICHI NYUMBANI KWAKO".
Leo tunakufundisha faida mbili muhimu za kutibu Kikohozi na tatizo la usingizi.
● ili kutibu tatizo la kikohozi, chukua vijiko 8 vya asali mbichi uvichanganye na vijiko 4 vya juisi ya limao. Changanya vizuri kisha kunywa kijiko kimoja kutwa mara mbili kwa watu wazima.
● unapohitaji kurekebisha tatizo la usingizi basi fanya hivi; kunywa vijiko viwili vya asali yako mbichi kabla hujaenda kulala, endelea na utaratibu huu bila kusitisha kwani asali haina madhara au hadi ukiridhika mwenyewe unaweza ukaacha.
FAIDA ZOTE HIZO MBILI UTAZIPATA TU ENDAPO UTATUMIA ASALI HALISI AU MBICHI NA KIJIKO UNACHOTUMIA KATIKA HAYO MAELEZO NI KIJIKO CHA CHAI.
NB: Asali haishauriwi kutumiwa kwa mtoto mwenye umri chini mwaka mmoja na pia mjamzito mimba chini ya miezi 6 hafai kutumia.
Kwa mahitaji ya asali mbichi iliyofungashwa vizuri au hata ukihitaji iliyochanganywa na mdalasini ambayo inakuwa na faida nyingi zaidi mwilini unaweza kuwasiliana nasi kwa mawasiliano yaliyopo hapo juu, huduma zingine kama mwongozo wa nguvu za kiume, sabuni za Ubuyu na unga wa mizizi ya mlonge pia unaweza kujipatia kwa kuwasiliana nasi kwa hayo mawasiliano
No comments
https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link