NEW UPDATES

NJIA 4 RAHISI ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

NJIA 4 RAHISI ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

Kufika kileleni mapema ni moja ya tatizo kubwa ambalo huwasumbua watu wengi hasa wanaume waliopo katika mahusiano na ndoa.

Hakuna mwanamke ambaye anapenda mwanaume wake afike kileleni ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kujamiiana wakati yeye bado hajafika.

Tatizo hili limekuwa kubwa hadi kufikia kujadiliwa bungeni na wabunge wa nchi yetu ya Tanzania.

Wanaume wengi wamekuwa wakitafuta njia mbadala za kuwafanya wawe na uwezo wa kukaa kitandani muda mrefu. hii imepelekea kuibuka kwa watu ambao siyo wakweli, tunaweza kuwaita matapeli ambao huwarubuni watu kwa kuwadanganya kuwa wao wana dawa zinazoweza kuongeza nguvu za kiume.

Nguvu za kiume ni kitu muhimu sana katika kuimarisha uhusiano baina ya wapenzi. Kila mwanamke hutaka kuwa na mwanaume ambaye ana uwezo mzuri wa kumridhisha kimapenzi.

jinsi gani basi unaweza kuepuka matatizo haya na kumridhisha mwenzi wako imapenzi ili asifikirie kuchepuka na wanaume wengine?

Piga punyeto.

Hii ni njia salama kabisa ambayo unaweza kuitumia ili kujiridhisha. unapopiga punyeto unapata wakati mzuri wa kutambua ni wakati gani  na ni wapi panapokusisimua zaidi, hivyo wakati unafanya mapenzi na mwenza wako utajua kuwa umekaribia kufika kileleni na hivyo utatumia mbinu mbadala kama vile kupunguza spidi ili usifike kileleni kabla ya mpenzi wako.

Tumia kondomu.

kondomu hupunguza msuguano kati ya kuta za uke na uume hivyo kukuondolea wewe mwanaume kufika kileleni haraka. ukuta unaokuwa umetengenezwa na kondomu kati ya uume na kuta za uke, husaidia kupunguza ule msisimko unaoupata na hivyo kukupelekea kuchelewa kufika kileleni. Kwa kutumia njia hii basi utakuwa na uwezo wa kumfikisha mwenza wako kileleni na akafurahia penzi lenu.

Mpe mwenza wako maandalizi ya kutosha.

kabla ya kumuingilia mwenza wako, hakikisha kuwa unamuandaa vya kutosha na kuziteka hisia zake kwa kiasi ambacho haitomchukua muda mrefu yeye kufika kileleni. Tuia mbinu mabli bali kumuandaa kama vile vidole vyako, kumpapasa sehemu mbalimbali za mwili wake, kumbusu na kuchezea sehemu ambazo zitamsisimua.

Hii itaufanya uume wako kubaki kuwa imara na mara tu unapouingiza ndani ya uke basi wewe na mwenza wako kwa pamoja mtafika kileleni ndani ya muda mfupi tu na wete mtafurahia.

Badili mikao ya kufanya mapenzi.

Wakati unapojamiiana na mwenza wako, uko wakati ambao huwa unasikia kabisa baada ya muda mfupi basi ‘waarabu’ watakuja. Unapohisi hali hiyo, illi kuizuia kwa wakati hu inakupasa kufanya jambo ambalo litapunguza kasi ya wewe kukaribia kileleni. Unaweza ukauchomoa uume na kubadili mkao wa kufanya mapenzi, ama unaweza ukafanya kitu kingine kama vile kumbusu, na kupunguza kabisa spidi yako ya ufanyaji wa mapenzi.

Kufanya hivi kutakusaidia wewe kuakaa muda mrefu pasipo kufika kileleni na ninakuhakikishia kuwa mwenza wako atafurahi sana.

Share :

Facebook Google+ Twitter

Related Posts :

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link