NEW UPDATES

RISASI ZARINDIMA JIJINI DAR ES SALAM

Breaking News:Risasi zarindima jijini Dar es salaam  Maeneo ya masaki karibu na Double tree  huku wakionekana Askali polisi wakifyatua Risasi Juu kwaajili ya kumtuliza aliyewahi kuwa naibu waziri wa Fedha Adamu Malima, bado taarifa ya tukio zima haijapatikana
Endelea kufuatilia.

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link