NEW UPDATES

AJARI :-LUCKY VINCENT NUCERY AND PRIMMARY SCHOOL

Poleni wanafamilia kwa kupoteza watoto wenu waliokuwa wanasoma lucky vincentnucery and primmary school waliopata ajali wakiwa kwenye gari hilo la shule kama inavyoonesha pichani hapo chini. Mliwapenda watoto ndugu na jamaa hawa lakini Mungu amewapenda zaidi.



Ni mashujaa wamekufa wakipigania elimu. R.I.P

Ajali ya basi la wanafunzi wa luck vincent nusery and primary school karatu Arusha


Last edited: Yesterday at 3:57 PM

Yesterday at 2:55 PM

Reply

salomeNew Member

support said: 

Poleni wanafamilia kwa kupoteza watoto wenu waliokuwa wanasoma lucky vincent nucery and primmary school waliopata ajali wakiwa kwenye gari hilo la shule kama inavyoonesha pichani hapo chini. Mliwapenda watoto ndugu na jamaa hawa lakini Mungu amewapenda zaidi.

Ni mashujaa wamekufa wakipigania elimu. R.I.P

Ajali ya basi la wanafunzi wa luck vincent nusery and primary school karatu Arusha


kuna haya majina aisee nimeyaona kwenye blog moja japo si rasmi sana someni basi na muhakikishe huko shuleni.


Daa inahuzunisha sana lakini hatuna jinsi


Yesterday at 3:17 PM

Reply

supportSupport

Kumbe wengi kama list hapo juu ni ya kweli wengi sana. picha nyingine hii marehemu wakiwa wameokolewa toka kwenye basiAjali mbaya sana hii sababu sijui ilikuwa nini utelezi au mwendo kasi?

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link