NEW UPDATES

MSANII THE PUNCH: HELENI ZINAMPA MZUKA

ZUBWA THE PUNCH @kissmostwantedtanzania
Dress code by @anko_herry_classic

AMEFUNGUKA KUHUSU MZUKA ANAO UPATA BAADA YA KUTOBOA MASIKIO.

Msanii the punch Leo ametambulisha audio ya wimbo wake mpya  "nakuthamani" alio mshirikisha Baraka de prince.

Pamoja nayote msanii huyo ameeleza sababu za kutoboa  masikio, ameieleza  "kissmostwanted" kuwa kutoboa  kwake masikio  kunamfanya awe na muonekano unao tambulisha kazi yake katika mziki..ni jambo lililo la  kawaida kwa wasanii kutoboa  masikio, pua  n.k

Pia Msanii zubwa ZE  Punch amesema baada ya heleni, ataongeza tattoo zenye majina ya Bi  mkubwa wake akimaanisha mama yake.

Zubwa ni msanii wa kurap kutoka Tanzania.

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link