NEW UPDATES

MAPENZI KWA MAMA

Imani ...Maana yake ..Hakika"
Hakika maaana yake lazima iwe"
Yani pale nafsi inaposimamia kile inacho kiamini....

Mtoto Uyu imani yake Ni moja TU kuwamini haitowezakana mama yake abakwe au kuwawa mbele yake....Sijajuwa ameutoa wapi ujasili huu wa kutumia kijiko kutoa onyo mbele adui mwenye mtutu......Hakika Ni Somo la matumaini kwa mwenye kuwamini.....Thanks tumaini letu kwa mungu Alie Hai....

#IN GOD WE TRUST

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link