NEW UPDATES

MAKUBWA : Diamond na Familia yake Nzima, Waoga Mvua ya Matusi Mazito, Kutoka kwa Mange

Baada ya Diamond kumuimba Mange na Kuchezea Matusi, kesha akamtaja tena Mange kwenye post akimwambia Shetta kuwa kama anataka Kiki, basi atangaze kumuoa Mange..Mwanadada huyo aishie  Marekani amewashushia matusi mazito familia yote ya Diamond Ptatnumz akiwemo Zari, Mama ake Diamond, Sandra, dada ake Diamond Esma. Matusi hayo ni mazito sana hata kupost ila tazama post yenywe kutoka kwa Mange kimambi Hapa

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link