BREAKING NEWS:- Kamanda siro afunguka sakata la kukamatwa kwa Roma.
07 April 2017
Breaking news....... Kamanda #siro afunguka sakata la Kukamatwa kwa Roma.... zaidi soma hapo chiniii..................
BAKI HOT NEWS

Hussein bashe amefunguka kwa kuwaomba wana ccm kuondoa woga katika kupigania haki, Mbunge wa nzega amesema kitendo cha kukumatwa kwa msanii si swala la kupuuzia hivyo ccm wanapaswa kuwajibika na kutoa ushirikiano juu ya swala hilio. pia Nape nae amesikitishwa kwa kitendo hicho.
at Bakihotnews
No comments
https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link