NEW UPDATES

BAKIHOTNEWS:- ROMA KUPATIKANA.

BREAKING NEWS ROMA KUPATIKANA

Dar es salaaam: Mkuu wa mkoa wa Jiji la Dar es salaam amesema amepokea kwa mshtuko taarifa za kutekwa kwa msaanii maarufu Roma na wenzake. Aidha amevitaka vyombo vya habari kutoandika habari bila ya kua na uhakika na amewaomba kutoa ushirikiano ikiwa kuna uhakika wa taarifa hizo. Ameongeza kwa kusema kua anaimani kufikia jumaapili Msanii huyo na wenzake watapatikana na anawaomba wananchi kuendelea kuomba ili kufanikisha swala hilo. Hayo aliyasema wakati alipotembelewa na wasanii mbali mbali jana nyumbani kwake. Muda huu msanii Roma amepatikana na yuko kituo cha police ostabey kwa mahojiano zaidi.

at April 8. 2017

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link