NEW UPDATES

RAISI MAGUFULI:- KAULI YA MWISHO KUHUSU WIMBO MPYA WA MSANII WA BONGO FLEVA "NEY WAMITEGO, BAADA YA KUKAMATWA.






Raisi  magufuli aamuru "WAPO" ya ney wa mitego ipigwe Redioni na aachiwe huru.


                  

Raisi  wa jamhuru ya muungano wa Tanzania Dr magufuli ameagiza kuachiwa guru kwa mwana  mziki wa bongo fleva "ney wamitego" na wimbo wake.
 "wapo" uchezwe kwenye media mbali mbali hapa nchini.

Raisi  magufuli amesema amefurahishwa na wimbo huo "wapo" huku akimshauri mwanamziki huyo kutaja majina ya watu wengine kwenye wimbo huo kama vile wakwepa kodi wauza unga, wabwia unga na watu wengine wasiokuwa na maadili.

Haya amesema na waziri wa Habari, Sana'a utamaduni na michezo. Dkt Harrison vlmwakyembe Mbele ya waandishi wa habari jijini Dodoma.
  

Pia mwakyembe amelishauri jeshi  La polisi nchini, kumuachia huru mwanamziki huyo kutokana  na kutokuwa na makosa.
Mwakyembe amewataka BASATA kuondoka agizo la dhidi ya wimbo na badala yake tuendelee kupigwa kama nyimbo nyingine.

NEY WAMITEGO ALIKAMATWA  MKOANI MOROGORO BAADA YA KUACHIA WIMBO WENYE KUIKASHIFU SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI.

Baki hot news

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link