NEW UPDATES

TITO PAUL MTONI: MWANAFUNZI BORA UDSM

 Huyu ndiye aliye tajwa kuwa mwanafunzi bora kwenye maafari ya duru ya tatu ya chuo kikuu Dar es salaam  Jana.



mwanafunzi huyo ametajwa kuwa mwanafunzi bora  JINA lake ni MTONI PAUL TITO Mhitimu wa shahada ya awali ya Elimu jamii katika takwimu yaani B.A Statistics aliye pata  GPA ya 4.8 ndio pia ametangazwa kama mwanafunzi bora katika duru zote za maafari.


Kushoto ni baba mzazi wa TITO mtoni, akifuata raisi mstaafu mh Jakaya Kikwete, kulia ni mama mzazi wa TITO mtoni.


Bakihotnews 

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link