FAIDA 20 ZA MASSAGE KATIKA MWILI
FAIDA 20 ZA MASSAGE KATIKA MWILI
1 Massage inaboresha afya ya ngozi.
2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri.
3. Massage husafisha ngozi na kuboresha mfumo wa utoaji takamwili.
4. Massage Inaondoa kovu la jeraha.
5. Massage husaidia kupona kwa wenye mivunjiko ya viungo/ mifupa.
6. Massage huondoa uchovu wa mwili na kukosa usingizi.
7. Massage huzuia kansa ya ngozi na tishu.
8. Massage huzuia Saratani ya Matiti.
9. Massage huondoa maumivu ya wakati wa hedhi.
10. Massage huboresha mmeng'enyo wa chakula na kuzuia Constipation (choo ngumu). 11. Massage hupunguza maumivu ya uchungu kwa wamama wajawazito.
12. Massage huondoa uchovu na kuvimba kwa miguu kwa wamama wajawazito.
13. Massage huimarisha mifupa kwa kuchochea ufyonzwaji wa Madini ya Kalsiam(Calcium) na Fosforas.
14. Massage huboresha mzunguko wa damu mwilini.
15. Massage husaidia kuondoa maumivu ya misuli na majeraha.
16. Massage huchochea ufanyaji kazi wa homoni mwilini.
17. Massage huzuia Stroke/ kiharusi.
18. Massage inasaidia sana kwa wazee kuimarisha misuli na kuwapa nguvu ya kutembea.
19. Massage huondoa maimivu ya chini ya mgongo.
20. Massage husaidia kuboresha mfumo wa maji mwilini (lymphatic system) *Tunapatikana KAM COLLEGE FITNESS GYM :KIMARA KOROGWE
No comments
https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link