NEW UPDATES

MENAH PAUL: NAWALAANI WANAO NISEMA VIBAYA KUWA PICHA HIZI NI ZAUTUBU.

Mlibwende wa bongo move Menah Paul pia ni vedeo vixen 


 Muagizaji (Actress) na  video vixen wa Muziki wa bongo fleva menah paul anawalaani watu wanao msema vibaya kuhusu kazi yake anayo ifany


"Wananisema vibaya ili nikate tamaa niache kuendelea kufanya kazi inayo nilipia kodi ya apartment hapa mjini" 

Baadhi ya mashabiki wa mnenguaji huyo wa kike MENAH PAUL hawaja pendezwa na picha anazo zipost katika  kurasa zake ikiwemo instagram Zinazo daiwa kuwa siyo picha zinazo landana na maadili ya kiafrika.

Menah Paul amesema yupo tayali kuacha kupiga picha za aina hiyo na kupost katika kurasa zake  endapo KIDUME MMOJA AU MTU YEYOTE ATAJITOKEZA NAKUMLIPIA KODI YA APARTMENT ANAPO ISHI.. Amedai kuwa ndiyo kazi yake inayo mpa kula na kulala pamoja na kuvaa vipisi wanavyo muhukumu navyo.



No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link