NEW UPDATES

DEREVA AZIRAI GARI LIKIWA MWENDOKASI, 21 WANUSURIKA KIFO.

DEREVA AZIRAI GARI LIKIWA MWENDOKASI, 21 WANUSURIKA KIFO

Ajali ilivyotokea.

MTALII wa Ufaransa amepongezwa baada ya kunusru vifo vya watu zaidi ya 21 waliotaka kufa ajalini nchini Australia.

Mtalii huyo alikuchukua hatua za haraka kulizuia basi lililokuwa likielekea kupinduka mtaroni Milima ya Alps nchini Austria baada dereva wa basi hilo kuzirai ghafla wakati likiwa kwenye mwendokasi.

Basi hilo lilikuwa likipita katika eneo la milima hiyo, raia huyo wa Ufaransa aliliona likiseleleka mtaroni na kuelekea kupinduka ndipo akachukua jitihada za haraka kunusuru maisha ya watu hao kwa kuweka gogo refu ambapo basi hilo liligonga na kukwama.

Share :

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link