NEW UPDATES

CHELSEA YAIBUKA NA USHINDI MNONO LIGI YA MABINGWA ULAYA


Timu ya Chelsea imeibuka na ushindi mnono wa magoli 6-0 dhidi ya timu ya Qarabang katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku Michy Batshuayi akitupia wavuni magoli mawili na

Davide Zappacosta akifunga goli zuri.

Chelsea imerejea kwa kishindo katika ligi hiyo baada ya kushindwa kufuzu msimu uliopitwa, katika mchezo huo iliwapumzisha wachezaji wake kadhaa wa kikosi cha kwanza dhidi ya timu ngeni ya Azerbaijani, lakini ikashinda.

Katika mchezo huo magoli la Chelsea yalifunga na Pedro dakika ya 5, Zappacosta dakika ya 30, Azpilicueta dakika 55, Bakayoko dakika 71, Batshuayi magoli mawili, Medvedev naye akajifunga dakika ya 82. 

                     Pedro akifunga kiufundi goli la kwanza la Chelsea katika mchezo huo


                     Cesar Azpilicueta akifunga goli la tatu la Chelsea katika mchezo huo

Share :

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link