NEW UPDATES

VIDEO: ZARI NA WEMA KATIKA NGOMA MPYA YA ROSTAM ( ROMA NA STAMINA)- HIVI AMA VILE.


Baada ya kuachia video yake mwenyewe hivi karibuni, Roma mkatoliki ameachia video ya wimbo wake mwingine pamoja na Stamina.

Wasanii hawa wanaofahamika kama watani wa jadi hujiita Rostam yani muunganiko wa majina ya Roma na Stamina. Wimbo huu unakwenda kwa jina la Hivi Ama Vile. Utazame hapa chini;

Share :

Facebook Google+ Twitter

Related Posts :

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link