Tanzania commissin for universities (TCU)

Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo vilivyozuiliwa kufanya udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo 2017/18.
Orodha hii imetolewa wakati wahitimu wa kidato cha sita wakiwa wanaendelea na mchakato wa kutuma maombi vyoni.
Tuachie maoni yako hapa ChiniSAMBAZA HII





No comments
https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link