NEW UPDATES

SHAMSA FORD:- AMEWASHAURI MASTAA WEZAKE.

Shamsa Ford amewashauri mastaa wanzake wa kike kuacha tabia za kuchagua wanaume wa kuwaoa, kwani leo wana majina makubwa na wanaonekana warembo lakini ipo siku itafika hata hao wanaume wanaowatongoza leo watapotea kabisa.

Je huu ni ushauri mzuri au kachemka?

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link