NEW UPDATES

GARI LA MBUNGE MH SELF GULAMALI LIMEPATA AJARI MBAYA

GARI LA MBUNGE MH SEIF GULAMALI LAPATA AJALI MBAYA SOMA HABARI

Share this on WhatsApp

Gari la Mbunge wa Manonga Igunga, MH Seif Gulamali. Limepata ajali maeneo ya Ibologero likiwa na dareva wake pamoja na kijana mwingne, wakati wakirudi toka Mwanza walikompeleka mbuge huyo na kumwacha.

Wakati dereva anarudi Igunga na mwenzake bila kuwepo Mbunge huyo, Wakapata ajali, na wote wawili wametoka salama

Facebook Comments

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link