NEW UPDATES

WASANII WASIO NA BIFU AU SKENDO MBAYA (Tz), UACHI KUMTAJA ZUBWA THE PUNCH.

Wasanii wasio na skendo chafu au bifu za  Msanii kwa msanii au makundi flani, huwezi ukaacha kumzungumzia ZUBWA THE PUNCH.

ZUBWA THE PUNCH WA PUT THE SWAG ON

Msanii Abdul rajabu zubwa, maarufu kama ZUBWA THE PUNCH mwenye kibao kipya cha wimbo alio mshirikisha baraka da prince - nakuthamini 
kutajwa kuwa miongoni mwa wasanii wanaojiheshimu na kazi zao za mziki, ukilinganisha na wasanii wengine maarufu na wanaochipukia wanaamini kuwa mziki ni skendo Au kiki za kipuhuzi zitakazo Fanya kazi yao katika mziki ijulikane kila kona ya ulimwengu.

Ipo  mifano hai  ya wasanii maarufu kutumia lugha isiyo ipendeza jamii wakati mwingine na  kuamua kuvuka mipaka  na kutoa kashfa na kutukana viongozi wa nchi wakiwemo viongozi wa Dini.

Kwa wasanii chipukizi wenye umri mdogo  hasa mziki,  nao wamekuwa  wakiibua skendo au kutafuta kiki kwa kutembea na wamama walio wazidi umri jambo linalo pelekea kushusha hadhi  na dhamani ya utu.

BELLE 9 WA SUMU YA MAPENZI,


Nimiongoni mwa wasanii maarufu anaejadiliwa  kujiheshimu katika kazi zake za mziki. Nawengine wengi akiwemo MSODOKI Ama YOUNG KILLER

BAKIHOTNEWS
Home of news

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link