NEW UPDATES

HILI NDIO CARI JIPYA LA SAMATTA

GARI JIPYA LA SAMATTA

Mtanzania Mbwana Samatta anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji leo April 15 2017 amepost tofauti tofauti zikimuonesha akiwa na gari aina ya Mercedes Benz, Samatta ambaye kwa sasa anaishi Ubelgiji kutokana na kufanya kazi na KRC Genk nchini humo amepost picha gari hiyo bila maelezo mengi.

Inawezekana ikawa ni gari lake jipya ameamua kuliweka hadharani kupitia ukurasa wake wa instagram.

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link