BUNGENI
April 5, 2017
COMMENTS
April 5, 2017 Bunge limepiga kura za kuwapitisha wawakilishi wa bunge la Afrika Mashariki ambapo wagombea saba pekee ndio waliopitishwa kwa kupigiwa kura za ndio huku sita kati yao wakitokea Chama cha mapinduzi (CCM) na mmoja Chama cha wananchi CUF huku wagombea wawili wa CHADEMA wakikosa sifa baada ya kupigiwa kura nyingi za HAPANA.
1. Fancy Nkuhi
2. Happiness Legiko
3. Maryam Ussi Yahya
4. Dkt Abdullah Makame
5. Dkt Ngwaru Maghembe
6. Alhaj Adam Kimbisa
7.Habib Mnyaa (CUF)
LIVE: Wawania Ubunge Afrika Mashariki wakimwaga sera zao kwa Kiingereza
RELATED ITEMSBUNGENITZA HABARI
COMMENTS
← PREVIOUS STORYAlichokiandika Kitila baada ya kuteuliwa na Rais
NEXT STORY →Tanzania kuwa na watu 200m ifikapo 2100, ya tatu Afrika
SOMA NA HIZI
VIDEO: ‘Hatukubaliani na matokeo na tutakwenda Mahakamani’ -Freeman Mbowe
VIDEO: ‘Rais ameonesha nia njema ya kuongoza nchi’ -Zitto Kabwe
VIDEO: Wabunge walivyosimama kumshangilia Rais mstaafu Kikwete
No comments
https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link