NEW UPDATES

Askari polisi kuuwawa mkoani pwani.

Askari nane wa Jeshi la Polisi wameuawa huku mmoja akijeruhiwa katika Shambulio la kushtukiza lililofanywa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi waliobeba Silaha za moto na kufanikiwa kupora silaha saba kutoka kwa askari hao katika eneo Mkenge Wilayani Kibiti Mkoani Pwani.

Akitoa taarifa hiyo jijini Dar es salaam Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi CP Nsato Marijani Msanzya amesema askari hao nane wameuwa wakiwa njiani kuelekea kambini wakitoka lindoni eneo la Jaribu Mpakani...

No comments

https://instagram.com/bakihotnews?utm_medium=copy_link